Wednesday 15 July 2020

LATEST POST 15/07/2020

MOTCO
AUGUST 2020 JOINING INSTRUCTION

PLEASE, CLICK ON THE LINK BELOW TO DOWNLOAD THE JOINING INSTRUCTION ********




| |JOINING INSTRUCTION| |

Monday 25 May 2020

Kuripoti chuoni tarehe 30/5/2020

CHUO CHA UALIMU MOROGORO 

MAELEKEZO MUHIMU KWA WANACHUO

 Kutokana na maelekezo ya Serikali ya kuwa Vyuo vifunguliwe tarehe 01/06/2020 kwasababu ya kupungua kwa maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi vya Corona.
Hivyo, wanachuo wote wanatakiwa kuripoti Chuoni tarehe 30/5/2020 ili ufundishaji na ujifunzaji darasani uanze rasmi tarehe 01/06/2020.
Kila mwanachuo atatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo:
a) Uwe na Kitakasa Mikono (Sanitizer) kwa matumizi yako binafsi ili kujilinda na kuwalinda wengine.
 b) Uwe na Barakoa utakazozitumia pindi ukiwa kwenye mikusanyiko ya watu.
 c) Ufikapo chuoni, unatakiwa kujisajili getini na katika ofisi ya Usajili ambako utapewa maelekezo muhimu ya namna ya kuishi salama hapa chuoni.
 d) Kuzingatia taratibu na tahadhari zote zilizowekwa na Wizara ya Afya katika safari yako na kuishi kwako hapa chuoni.
 Karibu tena chuoni na ninawatakia safari njema ya kurejea chuoni.

AUGUSTINE J. SAHILI

 MKUU WA CHUO 

Tarehe 25/05/2020

Wednesday 25 March 2020

MOTCO !!! EVERYWHERE AND ANYTIME

MOTCO
SELF STUDY PAGE

WE WILL KEEP PROVIDING YOU SOME LINKS FOR SELF STUDY AT HOME. ALSO, VISIT THIS PAGE REGULARLY FOR NEWS AND UPDATES ********


| |MAKTABA TETEA-ACSE)| |

| |MAKTABA TETEA- DSEE| |

| |*****COMPUTER SCIENCE| |